UHAKIKI WA kiMarx
Karl Marx
(1818-83) na Friedrich Engels (1820-95
-Hawa ndio waasisi wa mtazamo huu. Hata hivyo wao wenyewe hawakuandika sana kuhusiana na fasihi.
· Hoja tatu Muhimu
- 1. Katika historia ya mwanadamu, jamii na mahusiano yake, taasisi zake namna yake ya kufikiria; mambo yote hayo hutegemea mabadiliko ya mfumo wa uzalishaji mali. Yaani jinsi uchumi, uzalishaji, mgawanyo na umilikaji mali unavyoendeshwa
2. Mabadiliko ya kihistoria katika msingi wa uzalishaji mali yanaathiri mabadiliko ya muundo wa matabaka ya jamii, na hivyo kutokeza (kwa kila wakati) tabaka tawala na tawaliwa ambayo huwamo katika mapambano na harakati za kugombea uchumi, siasa na faida za kijamii.
3. Urazini wa mwanadamu umeundwa na itikadi, Imani, thamani ya kitu (value), na namna za kufikiri na kuhisi
· Ni kupitia katika hivi, mwanadamu huuona ulimwengu wake, na huelezea yale yaliyomzunguka na yale anayoyaona kuwa ukweli.
ATHARI KATIKA FASIHI
Waandishi wa Ki-Marx huandika kwa kutumia falsafa ya Ki-Marx na jinsi alivyoiona historia ambapo wazo kuu ni kuwa: harakati za matabaka ndio msingi mkuu unaofanya mambo yawe kama yalivyo.
Nguvu ya Historia
Jinsi gani wanavyoweza kuufahamu ulimwengu uliopita kwa kutumia vielelezo na uthibitisho wa kihistoria.
Mfano: Matini km. Riwaya inawakilishaje ukweli? Ukweli huo ni usahihi wa mambo ktk Jamii. Usanii ni uumbaji wa Ukweli ktk maisha?
UHALISIA WA KISOSHALISTI
Mwandishi au msanii yeyote, ajitoe kuandika na kulielimisha kuhusu tabaka la wafanyakazi. Na kwamba, fasihi ni lazima iwe ya kimaendeleo, na ioneshe mtazamo wa kimaendeleo katika jamii
Georg Lukács (1885-1971) Hungary
Nadharia yake: Kiakisiko
Kwamba mambo yote huakisi ukweli fulani wa maisha. Kazi ya fasihi huakisi mfumo fulani unaofumbuka polepole. Kutuonesha mivutano, mikizano na au migogoro iliyomo katika maisha ya jamii inayoakisiwa.
KIAKISIKO
Kilicho cha msingi ni maudhui na sio fani yake. Fani inachukua nafasi ndogo sana katika kazi ya fasihi.
Mgogoro wa Ushairi wa Kiswahili.
Brecht alipingana naye kwa kusema hatuwezi kushikilia sheria za sanaa katika muda wote kwani ukweli wa jamii hubadilika.
MKABALA WA FRANKFURT 1923-1950
Nadharia Hakiki
Theodor Adorno, Max Horkheimer na Herbert Marcuse.
Maintained by an ICT consultant and Director of Studies: IFF YOU NEED HELP PLZ CALLA US VIA 0782 474941 0767 4749411 OR VIST www.kcckibaha.blogspot.com kcckimisha@gmail.com
🌹 Ushuhuda Wangu Kuhusu Dkt. Dawn – Mtu Aliyerejesha Nyumba Yangu na Furaha Yangu
ReplyDeleteNataka kushiriki ushuhuda wangu wa dhati kuhusu jinsi Dkt. Dawn alivyobadilisha maisha yangu kabisa.
Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na alikuwa ameenda kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwangu — na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini si hayo tu — Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyokuwa ikizunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote — huzuni, bahati mbaya, au mkanganyiko — usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com